Mkoa wa Maniema

jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Mkoa wa Maniema ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mkoa wa Maniema
Mahali paMkoa wa Maniema
Mahali paMkoa wa Maniema
Mahali pa Mkoa wa Maniema katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 02°57′S 25°57′E / 2.950°S 25.950°E / -2.950; 25.950
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 5
Mji mkuu Kindu
Serikali
 - Gouverneur Auguy Musafiri
Eneo
 - Jumla 132,520 km²
Idadi ya wakazi (2020)
 - Wakazi kwa ujumla 2,856,300

Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,856,300.

Mji mkuu ni Kindu.

Picha za Maniema

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maniema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.