Kindunda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wandunda. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kindunda imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindunda iko katika kundi la Kimambiloidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.