Kinembe (anatomia)

Kinembe ni kinyama kinachotokeza katika uchi wa mwanamke kinachomsaidia apate msisimko wakati wa kujamiana.

Kinembe

Ndiyo sehemu ya kwanza kulengwa na ukeketaji, ambao unaendelea kufanyika hasa barani Afrika, ingawa unapingwa na wengi kwa misingi ya afya na haki za wanawake. Nchi kama Tanzania na Kenya zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kupinga suala hilo la ukeketaji sababu linakiuka haki za msingi za binadamu

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinembe (anatomia) kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.