" King Of Soukous" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1991 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kongo, Aurlus Mabele. Albamu hii imechukua nyimbo kali kutoka katika baadhi ya albamu zingine na kuziweka humu. Baadhi kutoka kwa Mabele mwenyewe na zingine kutoka kwa kundi lake la Loketo. Nyimbo kali kutoka katika albamu hii ni pamoja na Embargo, Asta-Di na Betty.

King Of Soukous
King Of Soukous Cover
Studio album ya Aurlus Mabele na Loketo
Imetolewa 1991
Imerekodiwa 1990-1991
Aina Soukous
Lebo Wea Latina, Inc.
Wendo wa albamu za Aurlus Mabele na Loketo
"Aurlus Mabele"
(1991)
"King Of Soukous"
(1991)
"Stop Arretez"
(1992)

Orodha ya nyimbo hariri

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  1. Embargo
  2. Asta-Di
  3. Mawa
  4. Betty
  5. Liste Rouge (The Red List)
  6. Un Seul Dieu (One God)

Kikosi kazi hariri

  • Imetengenezwa na: Sound Wave Records
  • Imesambazwa na: Wea Latina, Inc.
  • Mhandisi: Thierry Doumergue
  • Mashairi: Aurlus Mabele
  • Imechanganywa na: Thierry Doumergue
  • Muziki na: Aurlus Mabele
  • Mtayarishaji: Jimmy Houetinou

Viungo vya Nje hariri