King Tubby (28 Januari 19416 Februari 1989) alikuwa mwanamuziki wa Jamaika. Jina lake la kuzaliwa ni Osbourne Ruddock. Alikuwa anapiga muziki wa Reggae.

Faili:King Tubby.jpg
King Tubby

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King Tubby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.