Kingas
Kingas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wangas. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kingas imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingas iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kingas Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingas katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/anc
- lugha ya Kingas kwenye Multitree
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |