Kingbandi-Kaskazini
(Elekezwa kutoka Kingbandi-Kaskazini (lugha))
Kingbandi-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangbandi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingbandi-Kaskazini nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 250,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingbandi-Kaskazini iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingbandi-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingbandi-Kaskazini Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingbandi-Kaskazini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ngb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingbandi-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |