Kingizim ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wangizim. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kingizim imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingizim iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingizim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.