Kingundu
Kingundu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangundu. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kibanda ya Kati. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kingundu imehesabiwa kuwa watu 5100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingundu iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingundu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingundu Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingundu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |