Kingungwel
Kingungwel ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wangungwel. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kingungwel imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingungwel iko katika kundi la B70.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kingungwel kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingungwel Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingungwel katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ngz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingungwel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |