Kininde
Kininde (pia Kilabo) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waninde kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kininde imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kininde iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kininde kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kininde Ilihifadhiwa 28 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kininde katika Glottolog
- lugha ya Kininde kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kininde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |