Kinokuku
Kinokuku ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanokuku kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kinokuku imehesabiwa kuwa watu 160. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinokuku iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinokuku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinokuku Ilihifadhiwa 12 Novemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinokuku katika Glottolog
- lugha ya Kinokuku kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinokuku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |