Kinukuria ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanukuria. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinukuria imehesabiwa kuwa watu 550. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinukuria iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinukuria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.