Kinyam
Kinyam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanyam. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyam imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyam iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyam
- lugha ya Kinyam katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nmi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |