Kinyamusa-Molo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wanyamusa na Wamolo, makabila mawili wanaoongea lugha moja. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimorokodo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinyamusa-Molo imehesabiwa kuwa watu 1630. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyamusa-Molo iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyamusa-Molo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.