Kinyangatom

Kinyangatom ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wanyangatom. Kinyangatom kinafanana sana lugha ya Kitoposa nchini Sudan Kusini na lugha ya Kiturkana nchini Kenya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyangatom imehesabiwa kuwa watu 24,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyangatom iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyangatom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.