Kinyesi
Kinyesi (kutoka kitenzi kunya; kwa Kiingereza: shit) ni uchafu unaotolewa na wanyama kama mabaki ya chakula baada ya mmeng'enyo. [1]
Angalia pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyesi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |