Kinyigina (au Kinyikina) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Wanyigina katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinyigina ilihesabiwa kuwa watu 63 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyigina kiko katika kundi la Kinyulnyulan.

Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kinyigina / Kinyikena (buluu nyeupe)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyigina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.