Kio'chi'chi'

Kio'chi'chi' ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wao'chi'chi'. Hakuna wasemaji wa Kio'chi'chi' siku hizi, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kio'chi'chi' iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kio'chi'chi' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.