Kiobolo

KiObolo (pia KiAndoni) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waobolo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa KiObolo imehesabiwa kuwa watu 318,000.[1] Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, KiObolo iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiobolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. NBS (2011) Annual Abstract of Statistics. National Bureau of Statistics. Federal Republic of Nigeria. p. 26,64