Kiodut ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waodut. Miaka ya 1980 idadi ya wasemaji wa Kiodut imehesabiwa kuwa watu 20 tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa; tena imawezekana kwamba hata wasemaji hao wameshafariki. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiodut iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiodut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.