Kioko-Eni-Osayen (pia Kiogori-Magongo) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waoko, Waeni na Waosayen. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kioko-Eni-Osayen imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioko-Eni-Osayen iko katika kundi la Kibenue-Kongo ila ndani ya Kibenue-Kongo lugha ya Kioko-Eni-Osayen haijaainishwa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioko-Eni-Osayen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.