Kiokpamheri

Kiokpamheri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waokpamheri. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiokpamheri imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiokpamheri iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiokpamheri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.