Kiolesura michoro cha mtumiaji

Katika utarakilishi, kiolesura michoro cha mtumiaji (kwa Kiingereza: graphic user interface) ni nafasi ambapo mtumiaji anaweza kuingilia tarakilishi yake kwa kipanya na kiwambo.

Kiolesura michoro cha mtumiaji cha Ubuntu kwenye Linux.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).