Utarakilishi (kwa Kiingereza : "computing") ni utendaji unaotumia tarakilishi kwa kudhibiti na kuwasilisha taarifa[1]. Vifaa na programu tete ni ndani ya utarakilishi. Utarakilishi ni muhimu katika teknolojia ya leo.

Tarakilishi za chuo kikuu cha James Madison.

Marejeo hariri

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.