Kiolulumo-Ikom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waolulumo na Waikom. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiolulumo-Ikom imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiolulumo-Ikom iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolulumo-Ikom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.