Kiorokaiva
Kiorokaiva ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waorokaiva. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiorokaiva imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorokaiva iko katika kundi la Kibinanderean.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiorokaiva kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiorokaiva
- lugha ya Kiorokaiva katika Glottolog
- lugha ya Kiorokaiva kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiorokaiva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |