Kiotuho (au Kilotuko) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waotuho. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiotuho imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiotuho iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiotuho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.