Kipaiwan
Kipaiwan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wapaiwan. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipaiwan imehesabiwa kuwa watu 66,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaiwan iko katika kundi lake lenyewe la Kipaiwan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipaiwan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipaiwan
- lugha ya Kipaiwan katika Glottolog
- lugha ya Kipaiwan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipaiwan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |