Kipalawano-Kusini-Magharibi

Kipalawano ya Kusini-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapalawano. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kipalawano ya Kusini-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalawano ya Kusini-Magharibi iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalawano-Kusini-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.