Kipalawano cha Kati

Kipalawano ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wapalawano. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipalawano ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalawano ya Katikati iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalawano cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.