Kipanawa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapanawa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipanawa imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipanawa iko katika kundi la Kikainji. Wengine wanakiangalia kama lahaja ya Kijere.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipanawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.