Kipapi ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapapi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipapi imehesabiwa kuwa watu 70 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipapi iko katika kundi la “Sepik Hill”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipapi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.