Kipapora-Hoanya

Kipapora-Hoanya ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wapapora-Hoanya. Hakuna Wapapora-Hoanya siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kipapora-Hoanya, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipapora-Hoanya iko katika kundi la Kitambarare-Magharibi (“Western Plains”).

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipapora-Hoanya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.