Kipimo cha mwelekeo wa kati

Katika takwimu, kipimo cha mwelekeo wa kati (kwa Kiingereza : measure of central tendency) ni namba moja inaeleza kwa ufupi namba nyingi. Kinapatwa kwa hesabu kama wastani, kati au modi.

Modi, kati na wastani.

Kipimo cha mwelekeo wa kati kinapinga kipimo cha tawanyiko.

MarejeoEdit

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.