Kipimo cha tawanyiko


Katika takwimu, kipimo cha tawanyiko (kwa Kiingereza : measure of statistical dispersion) ni namba moja inaeleza kwa ufupi namba ubadilikajibadilikaji wa sampuli ya data.

Boxplot moja.

Kinapatwa kwa hesabu kama mkengeuko wastani, muachano au masafa.

Kipimo cha tawanyiko kinapinga kipimo cha mwelekeo wa kati.

Marejeo

hariri
  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.