Kipimo data (elektroniki)

Katika elektroniki, kipimo data (kwa Kiingereza: Bandwidth) ni tofauti iliyopo kati ya juu na chini ya marudio katika bendi ya marudio.

Mchoro wa kipimo data.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).