Mchoro ni neno la Kiswahili ambalo linatokana na kitenzi kuchora.

Msanii wa uchoraji akichora picha

Kwa lugha ya Kiingereza neno mchoro hujulikana kama picture, ambalo Waswahili wameligeuza na kuliandika picha, hivi jinsi walivyoliandika neno hili ndivyo wanavyolitamka. Hata hivyo picha inaweza kuwa na maana nyembamba zaidi, hasa ya picha zilizopigwa kwa kamera au chombo kingine cha kielektroniki.

Kumbe mchoro unadai mtu achore mwenyewe.