Kipingelap ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wapingelap. Idadi ya wasemaji wa Kipingelap imehesabiwa kuwa watu 2500 nchini Mikronesia, na wasemaji 500 katika nchi nyngine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipingelap iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipingelap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.