Kipiti ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapiti wa jimbo la Kaduna. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kipiti imehesabiwa kuwa watu 8100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipiti iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipiti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.