Kipohnpei ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wapohnpei. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipohnpei imehesabiwa kuwa watu 29,000 nchini Mikronesia, na wasemaji 2350 katika nchi nyngine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipohnpei iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipohnpei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.