Kipongu (pia Kirin) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapongu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipongu imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipongu iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipongu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.