Kiqabiao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Waqabiao. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiqabiao imehesabiwa kuwa watu 690 nchini Vietnam. Pia kuna wasemaji kumi na wanane nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqabiao iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqabiao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.