Kiqau ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiqau imehesabiwa kuwa watu 2000, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqau iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.