Kiqiang cha Kaskazini

Kiqiang ya Kaskazini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Waqiang. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiqiang ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 57,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqiang ya Kaskazini iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqiang cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.