Kiqueyu (pia Kichoyo) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Waqiang. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiqueyu imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqueyu iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqueyu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.