Kirao ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Warao. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kirao imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirao iko katika kundi la Kiramu ya Kati.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.