Kirawa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Warawa na Wakaro. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kirawa imehesabiwa kuwa watu 11,500, yaani Warawa 7000 na Wakaro 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirawa iko katika kundi la Kifinisterre.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.