Kireshe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wareshe. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kireshe imehesabiwa kuwa watu 44,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kireshe iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireshe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.