Kiroglai ya Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam inayozungumzwa na Waroglai. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiroglai ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 41,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiroglai ya Kusini iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiroglai-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.